Faridi Miraji , Dar es salaam.
Hiki hapa kikosi cha Mbao Fc kinachoshuka dimbani kuwakabili Simba Sc kwenye mchezo wa Fainali Leo hii uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Kikosi chá MBAO FC Kinachoanza mchezo wa Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya SIMBA SC
1.Benedict Haule
2.Boniphace Maganga
3.David Mwasa
4.Asante Kwasi
5.Yusuph Ndikumana
6.Salimin Hozza
7.Habibu Haji
8.Ibrahim Njohole
9.Pius Buswita
10.George Sangija
11.Jamal Mwambeleko
Akiba
-Mussa Mohamed
-Alex Ntiri
-Vicent Philipoo
-Ndaki Robert
-Dickson Ambundo
-Steve Mbaya
-Rajesh Kotesha
0 comments:
Post a Comment