Paul Manjale,Dar Es Salaam.
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji amejiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti kwenye klabu hiyo yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani,Kariakoo,Dar Es Salaam.
Kwa mujibu wa barua iliyoufikia mtandao wetu ambayo imeachiwa kama nakala kwa vyombo vya habari imeonyesha ilitiwa saini jana Jumatatu Mei 22.
Baada ya kupigiwa simu kutaka kujua ukweli huo,Manji amekiri kweli kuwa amejiuzulu kama barua yake inavyosemwa na siyo habari za mitandaoni.
Barua hii hapa
0 comments:
Post a Comment