Arusha,Tanzania.
GEOFFREY Mwashiuya leo ameibuka shujaa baada ya kuifungia Yanga SC mabao mawili (23,75) katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya AFC ya Arusha katika mchezo mkali wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid. ,
Bao jingine la Yanga SC limefungwa na mshambuliaji kinda ,Festo Greyson (85).
Yanga SC leo iliwakilishwa na Ali Mustafa,Pato Ngojani,Mohamedi Ally,Nadir Haroub,Vicent Bossou,Maka Edward,Yusufu Mhilu,Geofrey Mwashuiya,Mateo Antony, Juma Mahadhi,Emanuel Martin
Akiba
Deogratius Munishi,Samwel Greyson,Festo Greyson,Rahim Sheikh
0 comments:
Post a Comment