Manchester,England.
KIPA wa Benfica ya Ureno,Ederson akiwa amejipumzisha kitini akisubiri kuanza kufanyiwa zoezi la upimaji afya kabla ya kumwaga wino kuichezea Manchester City kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 35.Hata hivyo usajili wa Ederson ,23,huenda ukachelewa kutangazwa hii ni baada ya mchezaji huyo kumilikiwa na pande tatu yaani Benfica,wakala wake George Mendez pamoja na klabu yake ya Rio Ave kummiliki kwa asilimia 30.Hivyo usajili huo utakamilika pindi pande hizo tatu zitakapokuwa zimefikia mwafaka
Fans rip Angel Reese for her outfit on Unrivaled's opening night in Miami
-
The 3x3 league tipped off in Miami with Reese playing in the later game
with her new team, Rose Basketball Club. It also marked her return to the
game afte...
0 comments:
Post a Comment