Faridi Miraji,Dar Es Salaam.
Mambo yanaonekana kumnyokea kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko ambaye kiwango chake kimemkuna kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe, Norman Mapeza.
Mapeza amemjumuisha Kamusoko katika kikosi chake cha Zimbabwe kwa ajili ya mechi muhimu ya kusaka tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Liberia mwezi ujao.
Kamusoko anakuwa mwanasoka pekee wa Zimbabwe aliyeitwa katika kikosi cha timu ya Taifa, akiwaacha wenzake raia wenzake watano wanaomilikiwa na vilabu vya Tanzania.
Kikosi cha Zimbabwe:
Makipa: Edmore Sibanda (Caps United), Ariel Sibanda (Highlanders), Petros Mhari (FC Platinum)
Mabeki:
Dennis Dauda (Caps United), Partson Jaure, Qadr Amin (Ngezi Platinum), Onesimo Bhasera (Supersport United), Teenage Hadebe (Chicken Inn), Jameson Mukombwe (Black Rhinos), Erick Chipeta (Ajax Cape Town), Sydney Linyama (Black Rhinos)
Viungo:
Thabani Kamusoko (Young Africans), Devon Chafa (Caps United), Simon Shoko (FC Platinum), Kudakwashe Mahachi ( Golden Arrows) Khama Billiat (Mamelodi Sundowns) Marvelous Nakamba (Vittese), Danny Phiri (Golden Arrows), Liberty Chakoroma (Ngezi Platinum), Ovidy Karuru (AmaZulu), Ronald Chitiyo (Caps United)
Washambuliaji:
Tendai Ndoro (Orlando Pirates), Evans Rusike (Maritzburg United), Knowledge Musona ( OK Oostende), Prince Dube (Highlanders)
0 comments:
Post a Comment