KOCHA
wa Manchester United Mreno,Jose Mourinho amejumuisha makinda 10 kwenye kikosi
cha miamba hiyo ambacho kesho Jumapili kitakuwa nyumbani Old Trafford kucheza
mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu kwa kuikaribisha timu ngumu ya Crystal Palace.
Makinda hao ni makipa Joel Pereira na Kieran
O'Hara.Wengine ni Demetri Mitchell,
McTominay, Josh Harrop, Matthew Willock, Angel Gomes na Zachary Dearnley ambao
wataungana na Timothy Fosu-Mensah na Axel
Tuanzebe ambao tayari wameshaonja radha ya kukichezea kikosi cha
wakubwa.Akiulizwa kama makinda hao wamewiva kuitumikia timu hiyo
Jumapili,Mourinho amesema hapana.Siyo wote.
Premier League star BANNED from driving after admitting to speeding SIX
TIMES in two months - with his fastest speed clocking in at 96MPH
-
The international plead guilty to several offences after being caught
speeding on the A52 between December 2024 and February this year.
0 comments:
Post a Comment