728x90 AdSpace

Wednesday, May 31, 2017

Simba Sc yafungwa katavi dhidi ya Nyundo Fc


Mabingwa wa kombe la ASFC Simba Sc imecheza mchezo wa kirafiki Leo majila ya saa kumi huko katavi na Wenyeji wao Nyundo Fc ambopo Nyundo Fc imeibuka na ushindi wa Magoli Mawili kwa moja la Simba 

Mchezo huu ulikuwa na nia ya kulitembeza kombe mkoa kwa mashabiki wao kama Shukrani na Simba Sc kesho inatarajia kurudi dar es salaam kwaajili ya mapumziko mafupi na kujiandaa na ligi ya Sport Pesa Super Cup inayoanza mwezi June.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Simba Sc yafungwa katavi dhidi ya Nyundo Fc Rating: 5 Reviewed By: Unknown