728x90 AdSpace

Saturday, May 20, 2017

Madogo wa Hispania watwaa ubingwa wa Euro ya U17

TIMU ya taifa ya Hispania ya vijana ya chini ya miaka 17,La Roja usiku wa kuamkia leo Jumamosi imeandika historia nyingine kubwa baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Ulaya (Euro) ya vijana wa umri huo yalifanyika huko nchini Croatia baada ya kuwafunga vijana wenzao wa England kwa penati 4-1 baada ya sare ya mabao 2-2 katika muda wa kawaida.BOFYA MAANDISHI HAYA KWA HABARI ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Madogo wa Hispania watwaa ubingwa wa Euro ya U17 Rating: 5 Reviewed By: Unknown