Vilabu 16 vilifanikwa kutinga hatua ya makundi huku vile vilivyoshindwa vikiangukia katika hatua ya mchujo wa mwisho wa Kombe la Shirikisho.
Wawakilishi wa Tanzania, Yanga, TP Mazembe na KCCA ya Uganda ni kati ya timu zilizokula mweleka na kuangukia Kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kupata matokeo mazuri katika mechi za marudiano.
Matokeo kamili:
Jumamosi, Machi 18
Zanaco ( Zambia) 0-0 Yanga ( 1-1 )
Rail Club du Kadiogo 1-0 USM Alger (1-2)
Al-Merrikh 4-0 Rivers United (4-3)
FUS Rabat 1-3 Al-Ahli Tripoli (3-3)
KCCA 1-1 Mamelodi Sundowns (2-3)
CF Mounana 1-1 (4-5 p) Wydad Casablanca (4-5 p)
CNaPS Sport 1-1 Coton Sport (1-2)
Al-Merrikh 4-0 Rivers United (4-3)
FUS Rabat 1-3 Al-Ahli Tripoli (3-3)
KCCA 1-1 Mamelodi Sundowns (2-3)
CF Mounana 1-1 (4-5 p) Wydad Casablanca (4-5 p)
CNaPS Sport 1-1 Coton Sport (1-2)
Jumapili, Machi 19
AS Port-Louis 2-2 Al-Hilal (5-2)
St George 2-0 AC Leopards (St George 3-0)
CAPS United 0-0 TP Mazembe (1-1)
Bidvest Wits 0-0 Al Ahly (0-1)
AS Vita 2-0 Gambia Ports Authority (3-1)
Barrack Young Controllers 2-1 Ferroviario Beira (2-3)
Enugu Rangers 2-1 Zamalek (3-5)
Horoya 2-1 Esperance Tunis (3-4)
AS Tanda 1-2 Etoile Sahel (1-5)
St George 2-0 AC Leopards (St George 3-0)
CAPS United 0-0 TP Mazembe (1-1)
Bidvest Wits 0-0 Al Ahly (0-1)
AS Vita 2-0 Gambia Ports Authority (3-1)
Barrack Young Controllers 2-1 Ferroviario Beira (2-3)
Enugu Rangers 2-1 Zamalek (3-5)
Horoya 2-1 Esperance Tunis (3-4)
AS Tanda 1-2 Etoile Sahel (1-5)
Timu 16 zilizofuzu hatua ya makundi:
Mamelodi Sundowns ( Afrika Kusini )
Al Ahly ( Misri )
Zamalek ( Misri )
Al Hilal ( Sudan )
Esperance Tunisia
Wydad Casabalanca ( Morocco )
AS Vita ( JK Kongo )
USM Alger ( Algeria )
Al Merriekh ( Sudan )
Al Tripoli ( Libya )
Zanaco ( Zambia )
CAPS United ( Zimbabwe )
BYC ( Liberia )
St. George ( Ethiopia )
Cotonsport ( Cameroun )
Etoile du Sahel ( Tunisia )
0 comments:
Post a Comment