Ahmad Ahmad ndioooo
Ahmad Ahmad ndio Rais mpya wa Caf baada ya uchaguzi uliofanyika mchana wa Leo March 16, 2017 na kumpa ushindi Ahmad Ahmad na kutawazwa kuwa Rais mpya wa Caf.
Ahmad Ahmad Raia wa Visiwa vya Madagascar amemshinda mpinzani wake Isay Hayatou RAIA wa Cameroon ambaye amedumu kwenye shirikisho hilo kwa miaka 29 akiwa Rais wa Caf .
Ahmad Ahmad amemshinda Issa Hayatou kwa kura Kumi na nne zaidi na kumpa ushindi na uongozi wa Shirikisho la soka barani African Caf
0 comments:
Post a Comment