728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, April 03, 2016

    VPL JUMAPILI YA LEO:YANGA,AZAM ZIKO VIWANJA TOFAUTI KUMFUKUZIA MNYAMA

    Dar es salaam,Tanzania.

    Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara itaendelea tena leo jumapili kwa nyasi za viwanja vitano kuwaka moto.

    Mabingwa watetezi Yanga wao watakuwa nyumbani Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam kupepetana na Kagera Sugar huku washindani wao wa karibu Azam FC wao ni wageni wa Toto Afrikans huko CCM Kirumba,Mwanza.

    Ratiba kamili iko kama inavyoonekana hapo juu.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VPL JUMAPILI YA LEO:YANGA,AZAM ZIKO VIWANJA TOFAUTI KUMFUKUZIA MNYAMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top