DEAL DONE
-Baada ya Jana kusambaa Kwa picha ya kocha na mkurungezi wa zamani wa timu ya Yanga akiwa na jezi ya Singida United na mchezaji Mzambimbwe Kitunyu Tafadzwa . Kocha huyo alikanusha ila leo Rasmi amemwaga wino Kwa timu hiyo. Katibu wa Singida United ndg Abdulhaman Sima amedhibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na kocha HANS. Pia Sima amedhibitisha kuingia makubaliano ya awali na mchezaji wa Chicken Inn Fc ya Zimbambwe kiungo Tafadzwa Kitunyu.
0 comments:
Post a Comment