Faridi Miraji.
Bayern Leverkusen wamemtupia virago kocha Roger Schmidt baada ya kupokea kichapo kikubwa cha 6-2 kutoka kwa Borussia Dortmund .
Schmidt alitua Leverkusen mwaka 2014 baada ya kupata mafanikio makubwa katika kikosi cha Red Bull Salzburg nchini Austria na msimu uliopita alikiongoza kikosi hiko kumaliza nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu ya Ujerumani.
Hata hivyo kiwango na matokeo yamekuwa mabaya msimu huu na kichapo kikubwa kutoka Dortmund - kichapo cha nne cha Leverkusen katika mechi 6 kimeifanya klabu kushuka mpaka nafasi ya 9. Taarifa kutoka katika klabu inasema," Tangazo kuhusu uteuzi wa kocha mpya.
0 comments:
Post a Comment