728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, March 19, 2017

    Man United yaipisha Arsenal nafasi ya sita na kuweka rekodi England

    Manchester,England.

    Manchester United leo imefanya mambo makubwa matatu.Kwanza imeichapa Middlesbrough mabao 3-1 ugenini huko Riverside.

    Pili imeipisha Arsenal katika nafasi ya sita baada ya kufikisha pointi 52.Shukrani kwa mabao ya dakika za 30,62 na 90 yaliyofungwa na Marouane Fellaini,Jesse Lingard na mlinzi Antonio Valencia huku wenyeji Middlesbrough wao wakipata bao lao pekee katika dakika ya 77 na Rudy Gestede.

    Tatu imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kushinda michezo 600 ya ligi kuu England.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Man United yaipisha Arsenal nafasi ya sita na kuweka rekodi England Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top