Cairo,Misri.
Baada ya kupangwa kwa michezo ya kombe la Shirikisho barani Africa na ukiona timu ya Yanga kutoka Tanzania kupangwa na M C Alger ya Algeria nakuletea Ratiba nzima ya mchezo ya 16 bora.
Ratiba Kamili.
Yanga vs Mc Alger
Enugu rangers vs Zesco
Horoya Ac vs IR Tanger
AsTanda vs Platinum star
BYC vs Supersport united
Rivers united vs Rayon
ASPL2000 vs Club African
Gambia port vs Al Hilal
KCCA vs Al Masry
CNaPS vs CRD Libolo
Bidvest Witts vs Smouha
Rail club kadiogo vs CS Sfaxien
Cf Mounana vs Asec Mimosah
Fus Rabbat vs Maghreb FEZ
Ac Leopard vs Mbabane Swalow
TP Mazembe vs Js Kabylie
0 comments:
Post a Comment