728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 07, 2016

    ORODHA MPYA YA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI:ARGENTINA YAONGOZA,ALGERIA JUU AFRIKA,TANZANIA YAPIGWA BAO NA BURUNDI


    GENEVA,USWISI.

    Fifa leo imetoa orodha ya viwango vya soka duniani.Katika orodha hiyo mpya Argentina imepanda na kuiengua kileleni Ubelgiji baada ya kujikusanyia points 1,532.

    Kwa Afrika Algeria inaongoza ikifuwatiwa na Ivory,Ghana,Senegal huku Congo DR ikiwa juu ya Cameroun na Nigeria.

    Kwa ukanda wetu wa CECAFA Uganda inaongoza kidunia ikishika nafasi ya 72 huku Sudan Kusini ikiburuza mkia.

    KUMI BORA 

    1. Argentina (1,532 points),
    2. Belgium (1,352)
    3. Chile (1,348)
    4. Colombia (1,337)
    5. Germany (1,309)
    6. Spain (1,277)
    7. Brazil (1,251)
    8. Portugal (1,184)
    9. Uruguay (1,158)
    10. England (1,069)

    AFRICA 

    33 Algeria
    34 Ivory Coast
    38 Ghana 
    43 Senegal
    44 Misri
    51 Congo DR 
    63 Cameroun

    UKANDA WA CECAFA 

    72 Uganda 
    87 Rwanda 
    112 Kenya 
    122 Burundi 
    123 Ethiopia
    130 Tanzania  
    155 Sudan Kusini



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ORODHA MPYA YA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI:ARGENTINA YAONGOZA,ALGERIA JUU AFRIKA,TANZANIA YAPIGWA BAO NA BURUNDI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top