London,England.
Mpaka msimu wa 2015/16 unafikia tamati Chelsea itakuwa big 4,Sunderland,Aston Villa zitashuka daraja huku Manchester City ikitwaa ubingwa wa ligi kuu England.Huu ni utabiri uliofanywa na Stats.Com
Utabiri wao kwa vilabu vyote 20 uko kama ifuatavyo
1.Manchester City - Points 79 (Ubingwa 40.4)
2.Arsenal - 78 (Ubingwa - 39.4)
3.Manchester
United - 76 (Ubingwa -18.8)
4.Chelsea - 66 (Kuingia nne bora - 39.3)
5.Tottenham - 66 (Kuingia nne bora -39.3%)
6.Liverpool - 64
7.Southampton -56
8.Everton - 56
9.West Ham United -53
10.Crystal Palace - 52
11.Leicester City - 50
12.Stoke City - 48
13.Swansea City - 45
14.West Bromwich
Albion - 42
15.Watford - 39
16.Newcastle United 39 (Kushika daraja -20%)
17.Norwich City - 37
18.Aston Villa - 33 (Kushuka daraja - 61.8%)
19.AFC Bournemouth - 33 (Kuchuka daraja - 67.2%)
20.Sunderland - 31 (Kushuka daraja -73.5%)
0 comments:
Post a Comment