
Saturday, April 30, 2016

London,England. Danny Welbeck ametokea benchi na kuipa Arsenal ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo mkali wa ligi kuu ...
YANGA YAICHAPA TOTO AFRICANS 2-1 CCM KIRUMBA
Saturday, April 30, 2016
Mwanza,Tanzania. Mabao mawili ya kipindi cha pili yameipa Yanga SC ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Toto Africans katika mchezo mka...
MACDONALD MARIGA AFUNGIWA MECHI TANO ITALIA KWA KUMJERUHI MWAMUZI.
Saturday, April 30, 2016
Latina,Italia. KIUNGO wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Latina ya Italia Macdonald Mariga amefungiwa kutocheza michezo m...
HIZI HAPA HABARI KUBWA 10 ZA USAJILI TOKA BARANI ULAYA JUMAMOSI YA LEO APRILI 30
Saturday, April 30, 2016
Victor Valdes Valdes:Mlinda mlango Muhispania Victor Valdes amerejea katika klabu yake ya Manchester United baada ya mkataba wake wa mk...
BARCELONA KUANZA MSIMU MPYA NA JEZI TUPU
Saturday, April 30, 2016
Barcelona,Hispania. Barcelona imeanza kutengeneza jezi za msimu mpya wa 2016/17 bila ya kuwa na nembo ya mdhamini kifuani. Hatua hii ime...
HII HAPA RATIBA NA MUDA WA MICHEZO MBALIMBALI YA LIGI ZA ULAYA
Saturday, April 30, 2016
EPL-ENGLAND JUMAMOSI, ARPILI 30 Everton vs Bournemouth 17:00 Newcastle vs Crystal Palace Stoke vs Sunderland Watford vs Aston Villa West...
MAREKEBISHO:KESI ZA KINA BOCCO, NGOMA,KAPOMBE NA WENGINE SASA KUSIKILIZWA MEI 3.
Saturday, April 30, 2016
Dar es salaam,Tanzania. Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichopangwa kufanyika Jumapili,Mei ...
MECHI ZA LIGI BARA KUENDELEA LEO,KESHO RATIBA NZIMA IKO HAPA
Saturday, April 30, 2016
Dar es salaam,Tanzania. Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendeleo wikendi hii kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mba...
Friday, April 29, 2016
HII KALI:JERRY MURO AJA NA MPYA ADAI YANGA INA BARAKA ZA TB JOSHUA
Friday, April 29, 2016
Picha:Jerry Muro akiwa katika kanisa la TB Joshua,Nigeria. Dar es salaam,Tanzania Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro, amesema ameiombea ...
PLUIJM AFICHUA KINACHOKWAMISHA MAKALI YA PAUL NONGA
Friday, April 29, 2016
Dar es salaam,Tanzania. KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm,amesema mshambuliaji wake Paul Nonga anakosa kujiamini na kucheza kutok...
GEORGE WEAH AUTAKA TENA URAIS WA LIBERIA
Friday, April 29, 2016
Monrovia,Liberia. Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea, AC Milan na Paris Saint-Germain George Opong Weah ametangaza kuwa atagom...
HIZI HAPA HABARI KUBWA 10 ZA SOKA TOKA BARANI ULAYA IJUMAA YA LEO
Friday, April 29, 2016
Henrikh Mkhitaryan Willian: Guangzhou Evergrande ya China imeripotiwa kuwa iko tayari kutoa kitita cha £50m kwa ajili ya kumsajili nyota...
TP MAZEMBE YASHAMBULIWA, WACHEZAJI WAUMIZWA
Friday, April 29, 2016
Kinshansa,Congo. Upinzani katika ya vilabu vya TP Mazembe na AS Vita Club umechukua sura mpya baada ya siku ya Jumatano basi lililokuwa ...
EUROPA LIGI:LIVERPOOL YAKWAMA EL MADRIGA,SEVILLA YAKARIBIA FAINAL YA TATU MFULULIZO
Friday, April 29, 2016
Villarreal,Hispania. Bao la dakika ya 90 la Adrian Lopez limeipa Villarreal ushindi wa bao 1-0 nyumbani dhidi ya Liverpool katika mchez...
Thursday, April 28, 2016
UEFA YATANGAZA KUMFUNGIA MAMADOU SAKHO
Thursday, April 28, 2016
Liverpool, England. SHIRIKISHO la vyama vya soka barani Ulaya UEFA leo limetangaza kumfungia kwa kipindi cha awali cha siku 30 mlinzi wa...
VIPIMO VYA MRI SCAN VYAMUUMBUA CRISTIANO RONALDO
Thursday, April 28, 2016
Madrid,Hispania. Ndoto za winga Cristiano Ronaldo kuichezea klabu yake ya Real Madrid katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Lig...
MAYANJA ATOA SIRI YA KUIPELEKA SIMBA VISIWANI ZANZIBAR
Thursday, April 28, 2016
Pemba,Zanzibar KOCHA mkuu wa Simba SC Mganda Jackson Mayanja amefichua siri ya kukipeleka Zanzibar kikosi chake kabla ya wikendi hii kuv...
MANCHESTER UNITED KUWA WAGENI MCHEZO WA FAINALI YA KOMBE LA FA
Thursday, April 28, 2016
Manchester, England. Manchester United wamepangwa kuwa wageni katika mchezo wao wa fainali wa kombe la FA dhidi ya Crystal Palace hapo M...
HIZI HAPA HABARI KUBWA ZA USAJILI BARANI ULAYA ALHAMIS YA LEO
Thursday, April 28, 2016
Rafinha Na.sokaextra.blogspot.com Rafinha:Arsenal imeahidi kumpa mkataba wa miaka mitatu mlinzi wa kulia wa Bayern Munich Mbrazil Márcio...
WAKENYA WAJA NA DAWA YA KUKOMESHA VURUGU MICHEZONI
Thursday, April 28, 2016
Nairobi, Kenya. Shirikisho la soka nchini Kenya FKF,limetangaza kanuni mpya za kukabiliana na vurugu za mara kwa mara wakati wa michuano...
ATLETICO MADRID YAICHAPA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA ULAYA
Thursday, April 28, 2016
Madrid,Hispania. Bao la dakika ya 11 la kipindi cha kwanza la kiungo Saul Niguez,21 limeiwezesha Atletico Madrid kuichapa Bayern Munich ...
Wednesday, April 27, 2016
AZAM FC v MAJIMAJI KATIKA PICHA
Wednesday, April 27, 2016
YANGA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Wednesday, April 27, 2016
Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja ...
VPL:MUDATHIR YAHYA AIPELEKA AZAM FC NAFASI YA PILI
Wednesday, April 27, 2016
Dar es salaam,Tanzania. MABAO mawili ya kiungo Mudathir Yahya yameipa Azam FC ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Majimaji ya Songea katika mchez...
YANGA YATOKA NYUMA NA KUICHAPA MGAMBO JKT 2-1 U/TAIFA
Wednesday, April 27, 2016
Yanga imetoka nyuma na kuichapa Mgambo JKT mabao 2-1 katika mchezo mkali wa kiporo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa jioni ya leo kati...
TFF YAPATA AFISA HABARI MPYA
Wednesday, April 27, 2016
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas kuwa Afisa Habari na Mawasiliano mpya wa shirikisho kuanzaia leo Aprili 2...
YAMETIMIA!!CHELSEA YAMTWAA KIUNGO KIDUKU WA AS ROMA
Wednesday, April 27, 2016
London,England. YAMETIMIA!!Chelsea imekubali kutoa ada ya £28m ili kumsajili kiungo wa AS Roma Mbelgiji Radja Nainggolan,27 hii ni kwa ...
DELE ALLI MATATANI ENGLAND,UBONDIA WAMPONZA
Wednesday, April 27, 2016
London,England. Kiungo mahiri wa Tottenham na mshindi wa tuzo ya PFA Muingereza Dele Alli anakabiliwa na hatari ya kufungiwa michezo mit...
ENYEAMA AITOA KIMASOMASO AFRIKA
Wednesday, April 27, 2016
Lagos,Nigeria. Mlinda mlango Mnigeria Vincent Enyeama anayedakia Lille ya Ufaransa ametajwa na kitengo cha CIES Football Observatory cha...
KAMA SIYO SOKA NINGEKUWA MUUAJI
Wednesday, April 27, 2016
Milan,Italia. MAISHA ni safari ndefu sana tena yenye kila aina ya matukio.Kila mmoja wetu katika dunia hii ana kitu cha kusimulia.Kiwe k...
DAKIKA 45 ZA FARID MUSSA ZAIPAGAWISHA WAHISPANIA,WAMUULIZA SWALI LA KIZUSHI
Wednesday, April 27, 2016
Tenerife,Hispania. WINGA chipukizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC,Farid Mussa, aliyeko majaribioni nchini Hispania,...
VPL:YANGA,AZAM DIMBANI LEO USO KWA MACHO NA VIPORO VYAO
Wednesday, April 27, 2016
.Dar es salaam,Tanzania. Vilabu vya Yanga na Azam FC leo jioni vitashuka dimbani kucheza michezo zao za viporo vya Ligi Kuu ya Vodacom Tan...
MAN CITY,REAL MADRID ZATOKA SARE TASA ETIHAD
Wednesday, April 27, 2016
Manchester, England. Manchester City imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Etihad baada ya Jumanne usiku kulazimishwa sar...
Tuesday, April 26, 2016
HIZI HAPA HABARI KUBWA 12 ZA USAJILI TOKA ULAYA JIONI YA JUMANNE YA LEO
Tuesday, April 26, 2016
Taison-Wellington Kane:Diego Maradona ameishauri klabu yake ya zamani ya Napoli kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane,22 ikiwa ...
Subscribe to:
Posts (Atom)