Mlinzi Chris Smalling ndiye mchezaji pekee toka ligi kuu England aliyefanikiwa kuingia katika kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kuonyesha kandanda safi na kuisaidia Manchester United kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya CSKA Moscow.
Mbali ya Smalling nyota wengine walioingia katika kikosi hicho ambacho hutolewa kila siku za alhamis baada ya mechi zote za ligi hiyo kuchezwa ni David Alaba,Thiago Alcantara na Thomas Muller (Bayern Munich/Ujerumani),Neymar Dos Santos na Luis Suarez (Barcelona/Hispania) pamoja na Diego Godin (Atl Madrid/Hispania)
Kikosi kamili kiko kama ifuatavyo....
0 comments:
Post a Comment