Paris,Ufaransa.
HAIKUWA PESA.Winga Angel Di Maria amesema haikuwa ridhaa yake kuhamia Manchester United msimu uliopita bali Real Madrid ndiyo iliyoamua kumuuza ili ipate pesa za kufidia gharama ilizotumia kuwanunua nyota Tom Kroos na James Rodriguez.
Alikifanya mahojiano na AS na kukaririwa na The Sun Di Maria ambaye kwa sasa anakipiga na PSG amesema
"Sikutaka kuondoka Real Madrid.Nilijaribu kutaka mkataba mpya lakini walinikatalia.Sikuhama kwa sababu ya pesa,Madrid hawakunitaka tena waliniuza ili kufidia pesa walizotumia kununua wachezaji wapya"
Di Maria alijiunga na Manchester United kwa dau la £57.9m huku Real Madrid ikiwanunua Kroos kwa £20m na Rodriguez kwa £63m
Kross na Rodriguez
0 comments:
Post a Comment