Johannesburg, Afrika Kusini.
Timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars" jumapili ya wiki hii itajitupa dimbani kuvaana na timu ya University of Pretoria katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa Johannesburg,Afrika Kusini.
Taifa Stars inatarajia kuutumia mchezo huo kama sehemu ya mazoezi yake kabla ya kuivaa Algeria Novemba 14 jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano ijayo ya kombe la dunia huko Urusi mwaka 2018.
0 comments:
Post a Comment