728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, November 03, 2015

    HAWA NDIYO NYOTA 10 WALIOMBANIA SAMATTA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA AFRIKA

    Cairo,Misri.

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) jana jumatatu lilitoa orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Afrika kwa wachezaji wote wanaocheza nje/ndani.

    Katika orodha hiyo iliyosheni nyota kibao wanaosukuma soka Ulaya ni mchezaji mmoja tu anayecheza ndani ya Afrika Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ wa El Hilal ya Sudan ndiye amepata bahati ya kuwemo katika orodha hiyo yenye wakali kama Yaya Toure mshindi wa tuzo hiyo mwaka uliopita,Andre Ayew na wengineo wengi huku Mtanzania Mbwana Ally Samatta akiwania tuzo ya wachezaji wa ndani licha ya kufanya vizuri akiwa na TP Mazembe.

    Mchezaji bora wa mwaka anatarajiwa kutangazwa Januari 7,2016.....Orodha kamili iko kama ifuatavyo...


    André Ayew (Ghana & Swansea)
    Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia)
    Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
    Mohamed Salah (Egypt & Roma)
    Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
    Sadio Mané (Senegal & Southampton)
    Serge Aurier (Cote d’Ivoire & Paris Saint Germain)
    Sofiane Feghouli (Algeria & Valencia)
    Yacine Brahimi ( Algeria & Porto)
    Yaya Touré (Cote d’Ivoire & Manchester City)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HAWA NDIYO NYOTA 10 WALIOMBANIA SAMATTA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top