728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, May 06, 2016

    HASSAN KESSY KUSAINI YANGA LEO HII

    Dar es salaam,Tanzania.

    Kama ulidhani haiwezekani sasa sikia hii!!Mlinzi wa kulia aliyemaliza mkataba Simba SC Hassan Kessy muda wowote kuanzia sasa atamwaga wino kuichezea Yanga SC yenye makazi yake mitaa ya Jangwani-Kariakoo jijini Dar es salaam.

    Habari zilizoifikia Soka Extra ni kwamba tayari Kessy ameshamalizana kila kitu na Yanga na kilichobaki ni kuweka saini na dole gumba kwenye karatasi nyeupe za mkataba za mkataba wake.

    Kessy alitua Simba SC mwaka juzi akitokea Mtibwa Sugar ya Manungu,Morogoro na ujio wake ndani ya kikosi cha Yanga utaibua vita kali kati yake na Juma Abdul.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HASSAN KESSY KUSAINI YANGA LEO HII Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top