728x90 AdSpace

Tuesday, May 24, 2016

DROO YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA HII HAPA,KUANZA JUNI 17

Cairo,Misri.

Kundi A:Zesco (Zambia),Al Ahly(Misri), ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Wydad Athletic (Morocco) 

Kundi B:Enyimba (Nigeria), Zamalek (Egypt),ES Setif (Algeria) na Mamelodi Sundowns (South Africa).

Michezo ya hatua ya makundi itaanza kati ya Juni 17-19 na kufikia tamati mwezi Augusti ambapo timu mbili za juu toka kila Kundi zitafuzu hatua ya nusu fainali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: DROO YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA HII HAPA,KUANZA JUNI 17 Rating: 5 Reviewed By: Unknown