728x90 AdSpace

Thursday, May 26, 2016

JOSE MOURINHO KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED

Manchester, England.

KLABU ya Manchester United imemtangaza Mreno Jose Mourinho kuwa Kocha wake Mkuu Mpya akichukua nafasi ya Mdachi Louis van Gaal aliyetimuliwa Jumatatu ya wiki hii.

Mourinho,53 aliyewahi kuvinoa vilabu vya Porto,Chelsea,Inter Milan na Real Madrid amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ya Old Trafford.

Uamuzi wa kusaini mkataba huo umekuja baada ya mazungumzo yaliyodumu kwa siku tatu kati ya Mourinho,Wakala wake Jorge Mendes na Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Ed Woodward mkataba wa miaka mitatu.Taarifa rasmi itatolewa kesho Ijumaa



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JOSE MOURINHO KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Unknown