Cairo,Misri.
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Yanga SC imepangwa kundi A la Kombe la Shirikisho Barani Afrika katika droo iliyofanyika hivi punde huko Cairo,Misri.
KUNDI A:
Yanga SC (Tanzania)
TP Mazembe (DR Congo), MO Bejaia (Algeria)
Medeama (Ghana)
Kundi B
Etoile du Sahel (Tunisia) Ahly Tripoli (Libya),
FUS Rabat (Morocco)
Kawkab (Morocco)
RATIBA YA KUNDI A || MECHI ZA YANGA
- MO Bejaia vs Young Africans (17 June 2016)
- Young Africans vs TP Mazembe (28 June 2016)
- Young Africans vs Madeama (15 July 2016)
- Madeama vs Young Africans (26 July 2016)
- Young Africans vs MO Bejaia (12 August 2016)
- TP Mazembe vs Young Africans (23 August 2016)
Huyo huyo ndo tulikua tunamtaka
ReplyDeleteHao hao ndo tuliku tunawataka
ReplyDelete