728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, May 28, 2016

    FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO,AFRIKA KUWAKILISHWA NA NYOTA MMOJA PEKEE,WAJUE NYOTA 18 WA AFRIKA WALIOTWAA UBINGWA HUO

    Partey

    Milan,Italia.

    LEO NDIYO LEO huko Milan,Italia ambapo miamba miwili ya jiji la Madrid,Real Madrid na Atletico Madrid itashuka katika dimba la San Siro/Giusseppe Meazza katika mchezo wa fainali wa kuwania Uchampioni wa vilabu bingwa Ulaya. 

    Katika mchezo huo unaotarajiwa kuanza mishale ya saa 9:45 usiku kwa saa za Tanzania,Afrika itawakilishwa na mchezaji mmoja pekee katika fainali hiyo inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na ukweli kwamba timu hizo zinafahamiana vizuri na zina upinzani mkubwa.

    Mchezaji huyo ni Kiungo Thomas Partey,23 mzaliwa wa Odumase Krobo, Ghana anayechezea Atletico Madrid.Ikiwa Atletico Madrid leo itatwaa ubingwa Partey atakuwa Mwafrika wa 19 kutwaa ubingwa huo mkubwa kwa ngazi ya vilabu barani Ulaya.

    Wachezaji wa Afrika waliowahi kutwaa ubingwa wa European Cup/Champions League ni:

    1.Bruce Grobbelaar (Zimbabwe) – Liverpool FC, 1983/84

    2.Rabah Madjer (Algeria) – FC Porto,1986/87

    3.Abedi Pel̩ (Ghana) РOlympique de Marseille, 1992/93

    4.Finidi George (Nigeria) – AFC Ajax,1994/95

    5.Nwankwo Kanu (Nigeria) – AFC Ajax,1994/95

    6.Geremi (Cameroon) – Real Madrid CF,1999/2000

    7.Samuel Kuffour (Ghana) – FC Bayern München 2000/01

    8.Benni McCarthy (South Africa) – FC Porto,2003/04

    9.Djimi Traor̩ (Mali) РLiverpool FC,2004/05

    10.Samuel Eto’o (Cameroon) – FC Barcelona,2005/06, 2008/09, FC Internazionale Milano, 2009/2010

    11.Yaya Tour̩ (Ivory Coast) РFC Barcelona,2008/09

    12.Seydou Keita (Mali) – FC Barcelona,2008/09, 2010/11

    13.Sulley Muntari (Ghana) – FC Internazionale Milano, 2009/10

    14.McDonald Mariga (Kenya) – FC Internazionale Milano, 2009/10

    15.Jon Obi Mikel (Nigeria) – Chelsea FC,2011/12

    16.Salomon Kalou (Ivory Coast) – Chelsea FC,2011/12

    17Didier Drogba (Ivory Coast) – Chelsea FC,2011/12

    18.Michael Essien (Ghana) – Chelsea FC,2011/12



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO,AFRIKA KUWAKILISHWA NA NYOTA MMOJA PEKEE,WAJUE NYOTA 18 WA AFRIKA WALIOTWAA UBINGWA HUO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top