728x90 AdSpace

Saturday, May 28, 2016

LIGI KUU ZANZIBAR SASA KUANZA KUCHEZWA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI SABABU IKO HAPA

Zanzibar.

Baada ya kuweka rekodi ya kuwa Ligi pekee inayochezwa kila siku,Ligi Kuu ya Zanzibar imeweka rekodi nyingine ambapo sasa michezo ya Ligi hiyo itakuwa ikianza kuchezwa kuanzia saa 2 asubuhi.

Hatua hiyo imefikiwa na chama cha soka cha Zanzibar (ZFA) na Vilabu husika ili Kuhakikisha kuwa Ligi hiyo inaisha mapema kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Ligi hiyo itakuwa ikichezwa kuanzia saa 2 asubuhi,saa 4 asubuhi,saa 8 mchana na saa 10 kamili jioni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: LIGI KUU ZANZIBAR SASA KUANZA KUCHEZWA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI SABABU IKO HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown