Manchester, England.
BAADA ya tetesi za hapa na pale hatimaye Marcus Rashford amesaini mkataba mpya wa miaka minne wa kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Manchester United.
Mkataba huo mpya wenye kipengele cha kuongeza mmoja zaidi na ambao utafikia tamati mwaka 2020 utamuingizia nyota huyo mwenye miaka 19 kitita cha £25,000 kama mshahara wake wa wiki.
Baaada ya kusaini mkataba huo Rashford alikuwa na haya ya kusema "
Nimefurahi kusaini mkataba mpya.Daima nimekuwa shabiki kipenzi wa Manchester United,kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza ni ndoto iliyotimia.Nashukuru kwa kupata nafasi ya kuonyesha kipaji changu.Kupata nafasi ya kucheza katika klabu kubwa duniani ina maana kubwa sana kwangu na kwa familia yangu.
"I am delighted to have
signed a new contract. I
have always been a
Manchester United fan,
so to be playing in the
first team really is a
dream come true. I am
grateful for having the
chance to prove myself.
To be able to play
football at the biggest
club in the world means
everything to me and my
family"
Mwingine aliyesaini mkataba mpya ni mlinzi wa kushoto Cameron Borthwick-Jackson,19.
Nimekulia Manchester United na nimefurahia kila dakika niliyokuwa hapa.Msimu uliopita ulikuwa mzuri sana kwangu na jambo jema sana kwangu na kwa familia yangu.Nitaendelea kujituma na kupokea ushauri toka kwa kocha na benchi lake la ufundi.
“I have grown
up at United and have enjoyed every minute of
being here. Last season was an incredible
experience to make my first team debut and a
dream come true for myself and my family.
I feel it stands me in good stead for
continuing my development as a Manchester
United player. I will continue to work hard and
take advice from the manager and his
coaching team to improve with every training
session.”
0 comments:
Post a Comment