London,England.
Hull City imerejea Ligi Kuu England baada ya leo jioni kuifunga Sheffield Wednesday kwa bao 1-0 katika mchezo wa mtoano uliochezwa katika dimba la Wembley jijini London.
Bao lililloirejea Hull City Ligi Kuu limefungwa dakika ya 72 na Msenegal Mohamed Diame.Diame alifunga bao hilo baada ya kupiga mkwaju mkali uliomshinda mlinda mlango Sheffield Wednesday,Kieren Westwood na kutinga wavuni.
0 comments:
Post a Comment