728x90 AdSpace

Monday, May 30, 2016

UEFA YATANGAZA KIKOSI CHAKE BORA CHA MWAKA CHA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Milan,Italia.

SHIRIKISHO la vyama vya Soka Ulaya (UEFA) leo limetangaza kikosi cha wachezaji 18 ambao wamefanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) msimu wa 2015/16.

Katika kikosi hicho mabingwa Real Madrid wametoa wachezaji sita wakifuatiwa na Atletico Madrid iliyotoa wachezaji watano, Barcelona wachezaji watatu huku vilabu vya England vikishindwa kuwa na mchezaji hata mmoja.

KIKOSI KAMILI

Makipa : Jan Oblak (Atletico Madrid) na Manuel Neuer (Bayern München)

Mabeki : Diego Godin (Atletico Madrid),Juanfran (Atletico Madrid), Thiago Silva (Paris Saint-Germain), Sergio Ramos (Real Madrid), Marcelo (Real Madrid)

Viungo: Gabi (Atletico Madrid), Koke (Atletico Madrid), Andres Iniesta
(Barcelona), Toni Kroos (Real Madrid),Luka Modric (Real Madrid)

Washambuliaji : Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Luis Suarez (Barcelona), Lionel Messi (Barcelona), Robert Lewandowski (Bayern München),Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Gareth Bale (Real Madrid)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

1 comments:

Item Reviewed: UEFA YATANGAZA KIKOSI CHAKE BORA CHA MWAKA CHA LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown