Dar es salaam,Tanzania.
Azam FC yatangaza rasmi kuandaa michuano ya vijana ya Afrika Mashariki mwezi ujao, itakayoshirikisha timu nne ikiwemo Azam FC Academy.Michuano hiyo itaanza Juni 1-5.
TIMU SHIRIKI:
-Azam FC Academy- Dar es Salaam
-Future Stars Academy- Arusha
-Future Football for Good Academy- Uganda
-Ligi Ndogo Academy- Kenya
Lengo ni kuinua soka la vijana
0 comments:
Post a Comment