728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, May 24, 2016

    AZAM FC YAFUNGUA DUKA LA KUUZA VIFAA VYA MICHEZO

    Dar es salaam,Tanzania.

    Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imezindua rasmi duka lake la vifaa vya michezo 'Azam Sports Shop' lililopo Mtaa wa Swahili na Mkunguni,Kariakoo, Dar es Salaam, litakalokuwa likiuza vifaa mbalimbali vya timu hiyo.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AZAM FC YAFUNGUA DUKA LA KUUZA VIFAA VYA MICHEZO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top