Dar es Salaam,Tanzania.
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Wawakilishi pekee wa michuano ya Afrika ya Vilabu kwa ukanda wa nchi za Afrika Mashariki,YANGA SC wametangaza kuwa wataweka kambi ya mazoezi nchini Uturuki ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wake wa kwanza wa kundi A wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho dhidi ya MO Bejaia ya Algeria.
Hii ni Mara ya pili kwa Yanga SC kwenda kuweka kambi nchini Uturuki.Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 2013 katika kambi yake iliyokuwa Analya – Uturuki
0 comments:
Post a Comment