Manchester,England.
Van Gaal amesikia kelele za mashabiki wa Manchester United na sasa anajipanga kuirejeshea makali miamba hiyo ya zamani ya ligi kuu England kwa kufanya usajili wa nguvu hapo mwezi januari.
Moja kati ya maaneo anayofikiria kuyafanyia kazi Van Gaal ni eneo la ushambuliaji ambalo siku za hivi karibuni limepwaya kiasi cha kukatisha tamaa.Anataka kuongeza kazi na ubunifu katika ushambuliaji
Wafuatao ni wakali wanaowindwa na Van Gaal kuja kuongeza makali Old Trafford
Sadio Mane (Southampton/Senegal-Michezo 45,Magoli 16) Umri:Miaka 23
Riyad Mahrez (Leceister City/Algeria-Michezo 11,Magoli 6) Umri:Miaka 24
Alex Texeira (Shaktar Donestik/Brazil-Michezo 13,Magoli 19) Umri:Miaka 25
0 comments:
Post a Comment