Manchester, England.
Klabu ya Manchester United imepania kukiimarisha kikosi chake kwa kumsajili mshambuliaji wa Newcastle United Muhispania Ayoze Perez hapo mwezi januari mwakani.
Kutoka katika gazeti la The Guardian la leo jumatatu taarifa zinadai kuwa Manchester United imekuwa ikimfuatilia kwa ukaribu zaidi nyota huyo tangu alipojiunga na Newcastle United miezi 16 akitokea Tenerife kwa kitita cha £1.7m.
Mbali ya Manchester United vilabu vingine vinavyomtaka Ayoze mwenge magoli matatu mpaka sasa ni Tottenham na Arsenal
0 comments:
Post a Comment