728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, November 09, 2015

    SWANSEA CITY YAMTEMA MICHU

    Cardiff,Wales.

    Klabu ya Swansea City leo jumatatu imetangaza kumtema mshambuliaji wake Muhispania Miguel Pérez Cuesta "Michu"

    Swansea City imefikia hatua hiyo baada ya mshambuliaji huyo mrefu kuendelea kuandamwa na majeruhi ya mara kwa mara hali iliyofanya ashindwe kuitumikia vyema klabu hiyo ya Wales.

    Michu,29 alijiunga na Swansea City mwaka 2012 kwa ada ya £2m akitokea Rayo Vallecano na kufanikiwa kufunga magoli 18 katika msimu wake wa kwanza.

    Michu ametumia ukurasa wake wa twitter kuwashukuru wamiliki wa klabu hiyo,mashabiki,makocha na wachezaji kwa ushirikiano waliompa katika kipindi chote alichokuwa Swansea City.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SWANSEA CITY YAMTEMA MICHU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top