London,England.
TOTTENHAM imeshinda mbio za kumuwania kiungo wa Kenya, Victor Wanyama baada ya klabu yake ya Southampton kuibali ofa yake ya £11m.
Wanyama,24,atajiunga na Tottenham wiki ijayo mara baada ya kukamilisha zoezi la upimaji wa afya na taratibu nyingine za uhamisho wa wachezaji.
Wanyama alijiunga na Southampton mwaka 2013 kwa ada ya £10m akitokea Celtic ya Scotland.
0 comments:
Post a Comment