Southampton,England.
Mabao matatu ya dakika za 28, 57 na 68 ya winga Msenegal Sadio Mane na moja la Shane Long yameiwezesha Southampton kuichapa Manchester City kwa jumla ya mabao 4-2 katika mchezo wa ligi kuu England ulioisha hivi punde huko St.Mary's,Southampton.
Mabao ya kufutia machozi ya Manchester City yamefungwa na kinda Kelechi Iheanacho dakika za 44 na 78.
0 comments:
Post a Comment