Dar es salaam,Tanzania.
SIMBA SC na AZAM FC zimeshindwa kutambiana baada ya jioni ya leo kutoka sare ya bila kufungana katika mchezo pekee wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa taifa,jijini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo SIMBA SC na AZAM FC zimeiacha YANGA SC ikitanua kileleni kwa tofauti ya pointi sita huku kila timu ikibakiza michezo minne ligi ifikie tamati.
AZAM FC imefikisha pointi 59, wakati SimbaSIMBA SC
sasa inakuwa na pointi 58, nyuma ya mabingwa watetezi, YANGA SC wenye
pointi 65 baada ya kushuka dimbani mara 26.
0 comments:
Post a Comment