Hispania.
Real Sociedad imemtangaza Eusebio Sacristan kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya David Moyes aliyetimuliwa klabuni hapo jana jumatatu.
Sacristan kiungo wa zamani wa FC Barcelona na Hispania amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kukinoa kikosi hicho cha Anoeta kilicho katika nafasi ya 16 katika ligi ya La Liga baada ya kuvuna pointi 9 pekee katika michezo 11.
Kabla ya kujiunga na Sociedad,Sacristan alikuwa kocha mkuu wa Barcelona B toka 2011 mpaka Februari 2015.Kabla ya hapo Sacristan aliwahi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha wakubwa cha FC Barcelonal akiwa chini ya Frank Rijkaard toka 2003 mpaka 2008.

0 comments:
Post a Comment