Mlinzi wa FC Barcelona Gerard pique aliyewahi kukipiga Manchester United ametaja kikosi chake cha nyota XI anaowahusudu.Katika kikosi hicho kilichosheheni nyota wanaokipiga La Liga ni nyota watatu pekee ndiyo wanaokipiga nje ya Hispania huku Suprise kubwa ikiwa ni kujumuishwa kwa mlinzi kinda wa Everton John Stones.
Hiki ndicho kikosi husika
0 comments:
Post a Comment