728x90 AdSpace

Thursday, November 12, 2015

HAWA NDIYO NYOTA 41 WA SOKA TOKA LA MASIA

Barcelona,Hispania.

LA MASIA hii ni shule ya soka inayomilikiwa na FC Barcelona.Shule hii ipo Catalunya,Hispania kwa miaka mingi LA Masia imekuwa ikizalisha wachezaji wengi wenye vipaji vikubwa vya kusukuma kandanda.

Lengo kuu la LA Masia huwa ni kuzalisha wachezaji nyota kwa ajili ya FC Barcelona na wanaokosa nafasi huuzwa kwenda vilabu vingine.

Wafuatao ni nyota 41 ambao ni matunda ya shule ya soka ya LA Masia.

England

Mikel Arteta – Arsenal
Adama Traoré – Aston Villa
Pedro Rodríguez – Chelsea
Gerard Deulofeu – Everton
Victor Valdés – Manchester United
Oriol Romeu – Southampton
Bojan Krkic – Stoke City
Marc Muniesa – Stoke City
Jordi Gómez – Sunderland
Hector Bellerin- Arsenal

Spain

Andrés Iniesta – FC Barcelona
Gerard Piqué – FC Barcelona
Jordi Masip – FC Barcelona
Leo Messi – FC Barcelona
Marc Bartra – FC Barcelona
Munir El Haddadi – FC Barcelona
Rafinha Alcántara – FC Barcelona
Sandro Ramírez – FC Barcelona
Sergi Roberto – FC Barcelona
Sergio Busquets – FC Barcelona
Piti Medina – Granada
Rubén Rochina – Granada
Jordi Xumetra – Levante
Rubén Martínez – Levante
Raúl Baena – Rayo Vallecano
Roberto Trashorras – Rayo Vallecano
Andreu Fontàs – Celta
Carles Planas – Celta
Sergi Gómez – Celta
Fernando Navarro – Deportivo La Coruña
Oriol Riera – Deportivo La Coruña
Paco Montañés – RCD Espanyol
Víctor Sánchez – RCD Espanyol
Oier Olazábal – Real Sociedad
Alberto García – Sporting de Gijón
Antonio Sanabria – Sporting de Gijón
Jonathan Dos Santos – Villarreal

Italy

Joan Verdú – Fiorentina
Iago Falqué – Roma
Martín Montoya – Inter Milán
Mauro Icardi – Inter Milán
Patric Gabarrón – Lazio
Pepe Reina – Nápoles

France

Thiago Motta – PSG

Germany

Thiago Alcántara – Bayern

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HAWA NDIYO NYOTA 41 WA SOKA TOKA LA MASIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown