London,England.
Jason De Carteret na Eva Carneiro
Daktari wa zamani wa Chelsea Eva Carneiro jana jumatano alifunga ndoa na Jason De Carteret katika kanisa la St.Patrick,Soho.Katika ndoa hiyo hakuna mchezaji yoyote wa Chelsea aliyeonekana katika endeo hilo isipokuwa Mark Schwazer aliyewahi kuidakia klabu hiyo msimu uliopita.
Eva aliingia katika mgogoro baada ya kuingia uwanjani kumtibu Eden Hazard kitendo kilichomuuzi kocha Jose Mourinho kwa madai kuwa haikuwa wakati muafaka wa kufanya hivyo.
Jason De Carteret na Eva Carneiro
0 comments:
Post a Comment