London,England.
Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) leo limetoa orodha ya wachezaji 40 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 21.
Katika orodha hiyo ambayo mshindi hupatikana kwa kupigiwa kura na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali England imeibuka kidedea baada ya kutoa wachezaji wengi zaidi ikifuatiwa na nchi za Hispania na Ujerumani.
Baadhi ya wachezaji toka England ni Antony Martial,Hector Bellerini na Delle Alli wako katika orodha hiyo ndefu ya kuiwania tuzo hiyo ambayo mwaka uliopita ilitwaliwa na Raheem Sterling.
KUTOKA ENGLAND NYOTA WANAOIWANIA NI
– Nathan Ake (20 / Watford / ENG)
– Dele Alli (19 / Tottenham / ENG)
– Hector Bellerin (20 / Arsenal / ENG)
– Jordon Ibe (19 / Liverpool / ENG)
– Kelechi Iheanacho (19 /
Manchester City / NIG)
– Ruben Loftus-Cheek (19 /
Chelsea / ENG)
– Anthony Martial (19 / Manchester
United / FRA)
– Adnan Januzaj (20 / Manchester
United / BEL)
– Divock Origi (20 / Liverpool / BEL)
– Luke Shaw (20 / Manchester
United / ENG)
– Adama Traore (19 / Aston Villa /
ENG)
KUTOKA NJE YA ENGLAND NYOTA WANAOIWANIA NI
– Marco Asensio (19 / Espanyol /
Real Madrid / ESP)
– Zakaria Bakkali (19 / Valencia /
BEL)
– Kingsley Coman (19 / Bayern
Munich / FRA)
– Angel Correa (20 / Atletico Madrid /
ARG)
– Dahoud Mahmoud (19 / Borussia
M’gladbach / ALE)
– Danilo Barbosa (20 / Valencia /
BRA)
– Jason Denayer (20 / Galatasaray,
Manchester City / BEL)
– Anwar El Ghazi (20 / Ajax
Amsterdam / NED)
– Munir El Haddadi (20 / FC
Barcelona / ESP)
– Francisco Rodriguez (20 /
Wolfsburg / SUI)
– Goncalo Guedes (18 / Benfica /
POR)
– Alen Halilovic (19 / Sporting Gijon
FC Barcelona / CRO)
– Hojberg Pierre-Emile (20 / Schalke
04 / DIN)
– Ricardo Kishna (20 / Lazio / HOL)
– Nemanja Maksimovic (20 / Astana /
SER)
– Max Meyer (20 / Schalke 04 / ALE)
– Sergej Milinkovic-Savic (20 /
Lazio / SER)
– Mario Pasalic (20 / AS Monaco,
Chelsea / CRO)
– Gaston Pereiro (20 / PSV
Eindhoven / URU)
– Marko Pajca (20 / Dinamo Zagreb /
CRO)
– Adrien Rabiot (20 / Paris SG / FRA)
– Alessio Romagnoli (20 / AC Milan /
ITA)
– Ruben Neves (18 / Porto / POR)
– Sandro Ramirez (20 / FC
Barcelona / ESP)
– Moses Simon (20 / La Gantoise /
NIG)
– Youri Tielemans (18 / RSC
Anderlecht / BEL)
– Adama Traore (20 / AS Monaco /
MAL)
– Tonny Vilhena (20 / Feyenoord /
HOL)
– Andrija Zivkovic (19 / Partizan
Belgrade / SER)
NYOTA WALIOWAHI KUITWAA TUZO HIYO MIAKA YA NYUMA NI
2003 Rafael van der Vaart (Holland / Ajax)
2004 Wayne Rooney (England / Manchester
United)
2005 Lionel Messi (Argentina / Barcelona)
2006 Cesc Fabregas (Spain / Arsenal)
2007 Sergio Agüero (Argentina / Atletico
Madrid)
2008 Anderson (Brazil / Manchester United)
2009 Alexandre Pato (Brazil / Milan)
2010 Mario Balotelli (Italy / Manchester City)
2011 Mario Gotze (Germany / Borussia
Dortmund)
2012 Isco (Spain / Malaga)
2013 Paul Pogba (France / Juventus)
2014 Raheem Sterling (England / Liverpool)
0 comments:
Post a Comment