CAIRO,MISRI.
Michuano ya soka hatua ya makundi, kuwani vikombe vya klabu Bingwa na Shirikisho Barani Afrika inaanza kutifua vumbi leo Jumamosi katika mataifa mbalimbali barani Afrika.
Michuano hii inachezwa nyumbani na ugenini kutafuta mshindi.Kombe la klabu bingwa, lina vilabu vinane vilivyogawanywa katika makundi mawili, kila kundi lina timu nne sawa
na kombe la Shirikisho.
RATIBA YA KLABU BINGWA
Jumamosi Juni 18 2016
Zesco United (Zambia) vs Al Alhly(Misri)-Saa 10:30 Jioni.
ASEC Mimosas (Cote Dvoire) vs Wydad
Casablanca (Morocco) saa 13:30 Mchana.
ES Setif (Algeria) vs Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)-Saa 6:15 Usiku.
Jumapili Juni 19 2016
Enyimba (Nigeria) vs Zamalek(Misri) -Saa 12:00 Jioni.
RATIBA YA KOMBE LA SHIRIKISHO.
Jumapili Juni 19 2016
TP Mazembe (DRC) vs Medeama (Ghana) –Saa 10:30 Jioni.
MO Bejaia (Algeria) vs Yanga FC (Tanzania)- Saa 6:15 Usiku.
Jumatatu Juni 20 2016
FUS Rabat(Morroco) vs Al Ahli Tripoli (Libya)- Saa 7:00 Usiku.
0 comments:
Post a Comment