CAIRO,MISRI.
MICHUANO ya kusaka tiketi ya kufuzu Fainali za Afrika (AFCON) za mwaka 2017 nchini Gabon itaendelea tena wikendi hii kwa mataifa mbalimbali kushuka viwanjani kuwania pointi tatu muhimu ili kufuzu katika fainali hizo kubwa kabisa za soka Afrika.
Ifuatayo ni ratiba ya michezo itakayochezwa leo Ijumaa,Jumamosi na Jumapili.
IJUMAA JUNI 3,2016
Djibouti v Tunisia
Libya v Morocco
Mauritania v Cameroon
JUMAMOSI JUNI 4,2016
Burundi v Senegal
Sao Tome v Cape Verde
Rwanda v Mozambique
Botswana v Uganda
Tanzania v Egypt
Namibia v Niger
South Sudan v Mali
Sierra Leone v Sudan
Guinea-Bissau v Zambia
Gambia v South Africa
JUMAPILI JUNI 5,2016
Ivory Coast v Gabon
Kenya v Congo
Liberia v Togo
Benin v Equatorial Guinea
Madagascar v Congo
Comoros v Burkina Faso
Lesotho v Ethiopia
Swaziland v Guinea
Zimbabwe v Malawi
Central African Republic v Angola
0 comments:
Post a Comment