728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, May 20, 2016

    MCHINA AINUNUA ASTON VILLA

    Birmingham, England.

    Klabu ya soka ya Aston Villa ambayo imeteremka daraja msimu huu katika ligi kuu ya England,hatimaye imenunuliwa na tajiri wa kichina Tony Xia ambaye ni mfanya biashara aliyewekeza katika sekta ya Michezo,Utalii,kilimo na afya.

    Xia ameinunua Aston Villa kwa gharama ya Dola milioni tisini (90), amesema amekuwa ni shabiki mkubwa wa klabu hiyo kwa miaka mingi ingawaje hajafurahishwa na matokeo mabovu ya msimu huu amabayo yamepelekea timu hiyo kushuka daraja.

    Aston villa imeshuka daraja baada ya kuwa timu ya mwisho katika msimamo nafasi ya ishirini ikiwa na alama kumi na saba .

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MCHINA AINUNUA ASTON VILLA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top