Turin,Italia.
Mabingwa wa Seria A Juventus wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya vibonde Capri katika mchezo uliopigwa mchana wa leo huko Juventus Arena jijini Turin.
Mabao ya Juventus katika mchezo wa leo yamefungwa dakika za 42 na 80 na Anderson Hernanes pamoja na Simone Zaza
Kwa matokeo hayo Juventus imefikisha pointi 88 katika michezo 36.Capri wao wako nafasi ya 17 na pointi zao 35.
0 comments:
Post a Comment