728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, May 20, 2016

    HATIMAYE ARSENAL YAMPATA MCHEZAJI WAKE BORA WA MWAKA

    London,England.

    ARSENAL FC imemtangaza kiungo wake Mjerumani Mesut Ozil kuwa mchezaji wake bora wa mwaka (2015/16) baada ya kuibuka mshindi katika kura zilizopigwa na mashabiki wa Klabu hiyo ya Kaskazini mwa jiji la London.

    Ozil,27 ameibuka mshindi baada ya kuwashinda Alexis Sanchez aliyeshika nafasi ya pili na Hector Bellerin aliyeshika nafasi ya tatu.

    Ushindi huo umekuja baada ya Ozil kuonyesha kiwango bora msimu huu akifunga mabao manane na kutengeneza mengine 19 katika michezo 45 aliyocheza huku pia akifanikiwa kutengeneza nafasi 181 za kufunga.Akiwa na wastani wa pasi 87.7 kwa mchezo mmoja.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HATIMAYE ARSENAL YAMPATA MCHEZAJI WAKE BORA WA MWAKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top